top of page

Chuo cha Wakufunzi

Chuo Cha Wakufuzi

Karibu kwenye Chuo cha Wakufunzi. Iwe unapata mafunzo pamoja nasi ili kuwa mkufunzi aliyeidhinishwa, au ungependa kujifunza ujumbe wa kushirikisha na timu yako, ukurasa huu ndio mahali ambapo unaweza kupata nyaraka zote utakazohitaji ili kusaidia mafunzo yako.

Kwa kila moja ya hati hizi za mafunzo, kuna nyongeza inayohusiana na teolojia iliyo hapa chini. Nyongeza hiyo inatoa marejeo ya Maandiko Matakatifu yanayounga mkono mafundisho hayo, pamoja na mifano ya jinsi mafundisho hayo yanavyoweza kutekelezwa katika mazingira ya kocha na timu yake.

Kwa waumini wengi wapya, huibuka maswali mbalimbali. Hizi hapa ni baadhi ya nyaraka zitakazokusaidia kupata maarifa ya kujibu baadhi ya maswali yao. Majibu haya yanategemea Maandiko Matakatifu.

PDF

Utetezi wa Imani Uthibitisho wa Kuwepo kwa Mungu

ODF

Utetezi wa Imani Ukweli Kuhusu Yesu na Ufufuo

ODF

Utetezi wa Imani Maandiko

ODF

Utetezi wa Imani Kwa Nini Mungu Anaruhusu Mabaya

ODF

Utetezi wa Imani Kwa Nini Yesu Ndiye Njia Pekee

ODF

Utetezi wa Imani Unabii Uliotolewa na Kutimizwa

Whatsapp:

Coach Bob:

+15409051549

Coach Jeanne:

+15402705447

​
 

Email us: 

footballclubofgrace@gmail.com

​

Mailing Address:

3521 Willow Lawn Dr.

Lynchburg, VA 24503

Football Club of Grace is a

501(c)3 non-profit organzation.

Tax ID is 45-4244752

  • Facebook
  • YouTube
  • Facebook
  • YouTube
bottom of page